NAFASI ZAIDI YA 50 ZA AJIRA: TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA: Source Guardian,2nd June 2016

MSAIDIZI WA OFISI-X5 POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.

• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Maktaba , Mpokezii, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.

Msaidizi wa Ofisi TGOS A - Nafasi - 5

Sifa:-
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu vizuri katika masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati.

Kazi za kufanya:-
i. Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua na miti na kusafisha vyoo.
ii. Kuchukua na kupeleka majalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
iii. Kusambaza barua za Ofisi kama jinsi atakavyoelekezwa.
iv. Kutayarisha chai ya ofisi
v. Kupeleka mfuko wa posta na kuchukua barua kutoka Posta.
vi. Kuhakikisha kwamba vifaa vya ofisi vinawekwa sehemu zinazostahili.
vii. Kufunga Milango na Madirisha ya Ofisi wakati wa asubuhi na Jioni na kuyafunga baada ya saa za kazi.
viii. Kudurufu barua au machapisho.
ix. Kuweka katika majalada nakala za barua zilizochapwa katika ofisi walizomo.
x. Kutunza vifaa vya ofisi na kutoa ripoti kila vinapoharibika.Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
============

MPOKEZI POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Maktaba , Mpokezii, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.

10. Mpokezi TGS A - Nafasi - 1
Sifa
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliofaulu masomo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati na Kufuzu mafunzo ya mapokezi na upokeaji simu kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

Kazi za kufanya:-
(i) Kupokea wageni na kuwasilisha shida zao
(ii) Kutunza na kudumisha usafi wa " Switchboard" na Ofisi yake,
(iii) Kupokea siniu kutoka nje na kuzisambaza kwa rnaaftsa- mbalimbali Ofisini.
(iv) Kupokea simu kutoka "Extension" za ndani na kupiga nje ya ofisi,
(v) Kutunza rejesta ya simu zinazopokelewa kutoka nje ya ofisi na zinazopigwa nje ya ofisi.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
=============
MSAIDIZI WA MAKTABA DARAJA LA II POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama

Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Maktaba , Mpokezii, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.

9. Msaidizi wa Maktaba Daraja la II TGS B - Nafasi 1

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wenye cheti cha Mtihani wa kitaifa wa kidato cha IV ambao wamefaulu mafunzo ya Wasaidizi wa Maktaba (National Library Assistants Certificate Course) yatolewayo na Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania au wenye cheti kinacholingana na hicho.
Kazi za kufanya:-
(i) Kuandikisha wasomaji
(ii) Kupanga vitabu katika rafu (Shelves)
(iii) Kuazimisha na kupokea vitabu vinavyoazimwa
(iv) Kukarabati vitabu vilivyochakaa
(v) Kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wa kituo.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
============
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II -X 7 POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Maktaba , Mpokezii, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.

8. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II TGS B - Nafasi 7

Sifa za Kuingilia:-

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti/Stasnahada ya utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Mahakama na Ardhi. .
Kazi za kufanya:
(i) Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
(ii) Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
(iii) Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki (file racks/ cabinets) katika masjala/vyumba vya kuhifadhia kumbukumbu.
(iv) Kufanya kazi nyingineza kiutawala zinazohusu masuala ya kimahakama kama kuwasilisha nyaraka za kisheria Mahakamani na kuangalia muda na siku ya kufanyika kwa kesi husika.
(v) Kufanya kazi nyingine atakayopangiwa.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
============

KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III - X 2 POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Maktaba , Mpokezii, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.7. Katibu Mahsusi Daraja la III TGS B - Nafasi 2

Sifa
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Uhazili Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikall na kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.

Kazi za kufanya:-
i. Katibu Mahsusi Daraja la III atapanqiwa kufanya kazi Typing pool au chini ya Katibu Mahsusi mwingine mwenye cheo cha juu kumzidi kWenye ofisi ya Mkuu wa sehemu au kitengo.
ii. Kuchapa barua, taarifa na nvaraka za kawaida
iii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kushughulikiwa.
iv. Kusaidia kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
=============
MHASIBU DARAJA LA II-X 6 POSITION DESCRIPTION:Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Maktaba , Mpokezii, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.Mhasibu Daraja la II TGS 0 - Nafasi 6

Sifa:-

Intermediate Certificate' inayotolewa na NBAA.
Shahada ya BiasharajSanaa yenye mwelekeo wa uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Chuo Kikuu Taasisi yoyote

Kazi za kufanya:-
i. Kuidhinisha hati za malipo.
ii. Kuandika taarifa ya mapato na matumizi ya mwezi.
iii. Kusimamia Wahasibu Wasaidizi katika kazi zao za kila siku.
iv. Kusimamia shughuli za uhasibu kwenyeKitengo cha Idara.
v. Kuandika taarifa ya maduhuli.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
============

MHASIBU MSAIDIZI -X3 POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Maktaba , Mpokezii, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.

• Tafadhali soma kwa makini na kuzingatia maelekezo vote yaliyoorodheshwa katika sehemu ya kumi na sita ya tangazo hili.

6. Mhasibu Msaidizi TGS C ,.. Nafasi 3
Sifa
Kuajiriwa wenye cheti cha ufaulu mtihani mgumu wa Uhasibu Serikalini (Higher Standard Govemment Accountancy Examination) unaotolewa na Tume ya Utumishi wa Umma au
Wenye Stashahada ya Kawaida ya Uhasibu kutoka Chuo/Taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali. Aidha mwenye uzoefu usiopungua mwaka mmoja (1) katika fani hiyo atafikiriwa kwanza.
Kazi za kufanya:-
(i) Kupokea na kulipa fedha
(ii) Kutunza daftari la fedha
(iii) Kufanya usuluhisho wa hesabu za benki
(iv) Kukagua hati za malipo
(v) Kupitisha malipo kulingana na kanuni za fedha
(vi) Kusimamia kazi za Wasaidizi wa Hesabu.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
===========
HAKIMU MKAZI DARAJA LA II - TJS 2 - X 20 POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira

1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Ma!d:aba, Mpok~i, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.
• Tafadhali soma kwa makini na kuzingatia maelekezo vote yaliyoorodheshwa katika sehemu ya kumi na sita ya tangazo hili.

2. Hakimu Mkazi Daraja la II - TJS 2 - Nafasi - 20

Waombaji wawe na shahada ya kwanza ya Sheria "Bachelor of Laws" (LLB) kutoka katika Chuo kikuu kunacnotarnbullka na Serikali pamoja na cheti cha mafunzo ya Sheria kwa vitendo (Law school Certificate).

Kazi za kufanya:-
i. Kuandaa mpango wa kusikiliza mashauri.
ii. Kusikiliza mashauri ya awali ya Jinai(Criminal cases), Madai (Civil cases),Mirathi (Probate and Administration) na ndoa (Matrimonial cases).
iii. Kutoa hukumu katika mashauri vote anayoyasikiliza ya jinai, madai, mirathi, ndoa na mashauri mengine, kadri sheria inavyomruhusu.
iv. Kutoa ainri mbalimbali za kimahakama anazoruhusiwa kisheria katika Mahakama za Mwanzo . Kusuluhisha rnashauri,
v. Kusikiliza rufani kutoka Mabaraza ya Kata.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
=============
AFISA UTUMISHI DARAJA LA II (TGS D) -X 3 POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira

1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Ma!d:aba, Mpok~i, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.
• Tafadhali soma kwa makini na kuzingatia maelekezo vote yaliyoorodheshwa katika sehemu ya kumi na sita ya tangazo hili.

1. Afisa Utumishi Daraja la II (TGS D) - Nafasi - 3.
Sifa:-
i. Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Jamii au Sanaa kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo za fani zifuatazo
ii. Elimu ya Jamii (Sociology)
iii. Utawala na Uongozi (Public Administration)
iv. Mipango ya Watumishi (Manpower Planning)
v. Wawe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Kazi za Afisa Utumishi Daraja la II:-
i. Kutunza Kumbukumbu sahihi za watumishi wote
ii. Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa miundo ya utumishi.
iii. Kutafiti, kuchanganua, kupanga na kukadiria idadi ya watumishi wanaohitaji mafunio
iv. Kukusanya, kuchambua na kupanga takwimu na kumbukumbu zote zinazohusu mipango ya watumishi.
v. Kushughulikia masuala mbalimbali ya kila siku ya watumishi
vi. Kusimamia OPRAS.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
===========

AFISA TAWALA DARAJA LA II POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira

1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Ma!d:aba, Mpok~i, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.
• Tafadhali soma kwa makini na kuzingatia maelekezo vote yaliyoorodheshwa katika sehemu ya kumi na sita ya tangazo hili.

2. Afisa Tawala Daraja la II - TGS 0 - Nafasi - 1
Sifa:-
Shahada ya kwanza kutoka vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na serikali katika fani zifuatazo:-
Utawala, Elimu ya Jamii, Menejimenti ya Umma, Uchumi na wenye ujuzi wa kompyuta

Kazi za Maafisa Tawala:-
(i) Kuweka kumbukumbu za matukio muhimu
(ii) Kusimamia utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na taratibu mbalimbali
(iii) Kusimamia kazi za utawala na uendeshaji

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
==========

AFISA UGAVI DARAJA LA II -X 2 POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira

1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Ma!d:aba, Mpok~i, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.
• Tafadhali soma kwa makini na kuzingatia maelekezo vote yaliyoorodheshwa katika sehemu ya kumi na sita ya tangazo hili.3. Afisa Ugavi Daraja la II - TGS 0 - Nafasi - 2

Sifa:-
Shahada ya Biashara (B. Com ) yenye mchepuo wa ugavi au Stashahada ya Juu ya Ugavi (Advanced Diploma in Materials Management) inayotolewa na vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Bodi ya Taifa ya Usimamaizi wa Vifaa.

Kazi za Maafisa Ugavi:-
i. Kukusanya takwimu za kuweza kusaidia kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika ..
ii. Kuandaa mpango wa manunuzi.
iii. Kukusanya na utunzaji wa takwimu za utendaji za wazabuni rnbalimbali.
iv. Kukusanya na utunzaji wa takwimu za upokeaji, utunzaji, na usambazaji wa vifaa.
v. Kusimamia utunzaji wa maghala na hati/kumbukumbu ya vifaa vilivyomo ghalani.
vi. Kusimamia upokeaji, utunzaji na usambazaji wa vifaa.
vii. Kusimamia ukaguzi wa kuhesabu vifaa mara kwa mara.

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.
=============
MKAGUZI WA HESABU WA NDANI DARAJA LA II (INTERNAL AUDITOR GRADE II) POSITION DESCRIPTION:

Source Guardian,2nd June 2016

Tume ya Utumishi wa Mahakama
Tangazo la Ajira
1. Tume ya Utumishi wa Mahakama nichombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka '1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume ya Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada rnbalirnbali wa Mahakama.
• Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao
wako tayari kufanya kazi kwenye kituo chochote Tanzania Bara, katika Ofisi za Mahakama ya Tanzania zilizoko katika Mikoa na Wilaya mbalhnbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo niHakimu Mkazi Daraja la II, Mhasibu Daraja la II, Mhasibu Msaidizi, Afisa Utumishi Daraja laII, Afisa Tawala Daraja la II, Mkaguzi wa Hesabu wa NdaniDaraja la II; Afisa Ugavi Daraja la II, Katibu Mahsusi Daraja lallI, Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II, Msaidizi wa Ma!d:aba, Mpok~i, Msaidizi wa Ofisi na Mlinzi.
• Tafadhali soma kwa makini na kuzingatia maelekezo vote yaliyoorodheshwa katika sehemu ya kumi na sita ya tangazo hili.

4. Mkaguzi wa Hesabu wa Ndani Daraja la II (Internal Auditor Grade II) TGS 0 -Nafasi 1

Sifa

Wenye 'Intermediate Certificate' inayotolewa na NBAA Wenye Shahada ya Biashara au Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu (ADA) kutoka Chuo{Taasisi yoyote inavotambuliwa na serikali . Wenye stashahada ya juu katika Uhasibu wa Serikali (Advanced Diploma in Government Accounting) kutoka chuo cha Uhasibu Dar es salaam (DSA) .
Kazi za Mkaguzi wa Hesabu wa Ndani Daraja la II
Kufanya Ukaguzi wa hesabu Kusahihisha na kuidhinisha ripoti ya Ukaguzi
Kusahihisha na kuidhinisha hoja za ukaguzi wa ndani (Internal Audit queries)

Barua za maombi ziandikwe kwa. mkono wa mwombaji na kuambatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo. Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01).
Kivuli cha cheri cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.

Aidha, inasisitizwa kwamba:-
Waombaji wawe na umri kati ya mlaka kati ya 18 na 44
Waombaji wa kazi toka maeneo husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza na kupangiwa kazi katika maeneo husika.
Maombi yote yapitishwe kwa Katibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Waombaji walio katika Utumishi wa Umma wapitishe maombi yao kwa waajiri wao wa sasa.
Waombaji walioacha kazi katika Utumishi wa Umma waeleze kwamba waliacha kazi Serikalini na sababu ya kufanya hivyo.
Waombaji watakao shinda usaili na kuajiriwa watakuwa watumishi wa Mahakama ya Tanzania.
Waombaji waliosoma nje ya nchi vyeti vyao vithibitishwe na TCU/NACTE wakishindwa kutekeleza hili maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji waandike majina yao yote matatu kwa kirefu.
Waombaji waandike nafasi ya kazi wanayoomba nyuma ya bahasha watakazotumia maombi yao.
Waombaji waliowahi kufukuzwa kazi wasiombe.
Waombaji wasio na sifa zilizotajwa na ambao hawatazingatia masharti yaliyotajwa hapo juu maombi yao hayatashughulikiwa.
Waombaji watakaotoa taarifa za uongo mfano kuhusu umri wao, elimu yao au sehemu walizowahi kufanyia kazi na ikagundulika hata kama watakuwa wameshaajiriwa watachukuliwa hatua kali za kisheria.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kwa Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391, DAR ES SALAAM.
Imetolewa na ;-
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama,
S.L.P8391,
DAR ES SALAAM,
TANZANIA.

===========
Follow us on Instagram
===========
============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

Share :

Facebook Twitter Google+
1 Comment "NAFASI ZAIDI YA 50 ZA AJIRA: TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA: Source Guardian,2nd June 2016"

Hey, I do apprciate for quite good news on ..Tume ya Utumishi wa Mahakama. Unfortunately info,has had lacked job application Deadline date.

Back To Top