Courier Officers /Drivers at City Delivery Services Ltd

COURIER OFFICERS /DRIVERS

POSITION DESCRIPTION:

Source Mwananchi,8th June 2016
CDS
NAFASI ZA KAZI
Kampuni ya CITY DELIVERY SERVICES LTD (CDS) inapenda kutangaza nafasi za kazi ya Kuendesha pikipiki / gari (CourierOfficers /Drivers)
SIFA ZA MWOMBAJI:
1. Awe raia wa Tanzania.
2. Awe na umri kati ya miaka 23 - 35.
3. Awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea.
4. Awe na leseni ya udereva.
5. Awe no ujuzi / uzoefu usiopungua miaka 3 katika kazi ya usombazaji wa barua / vifurushi.
6. Awe anayafahamu maeneo na ofisi mbalimbali za hapa mjini vizuri.
7. Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili no: kiingereza kwa ufasaha.
8. Awe mwanamke au mwanamme.


APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi yatumwe kwa:
Meneja Mwajiri,
City Delivery Services ltd,
S.L P. 60017,
Dar es Salaam.
or cds@citydeliveryservices.co.tz
Au unaweza ukaleta maombi yako moja kwa moja kupitia ofisi zetu zilizoko Mikocheni B. Plot no. 149, karibu na Rose Garden.
=========
Follow us on Instagram 
============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment " Courier Officers /Drivers at City Delivery Services Ltd"

Back To Top