JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

KUITWA KWENYE USAILI: Shirika la Viwango Tanzania (TBS): May 2016

KUITWA KWENYE USAILI Shirika la Viwango Tanzania Bureau of Standards May 2016

KUITWA KWENYE USAILI

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za kazi zilizotangazwa tarehe 23.12.2015 kuwa usaili wa kuandika (Aptitude test) utafanyika tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016. Usaili utafanyika katika ukumbi wa University of Dar-es-Salaam, Business School; muda ni kama ulivyoainishwa katika jedwali husika. Matokeo ya usaili wa kuandika yatatangazwa tarehe 10.06.2016 katika tovuti ya TBS http://www.tbs.go.tz

Pia usaili wa mahojiano (Oral Interview) utafanyika kuanzia tarehe 14.06.2016 hadi 15.06.2016; muda ni kama ulivyoainishwa kwenye jedwali. Mahali pa kufanyia usaili ni katika ofisi za TBS makao makuu yaliyopo Ubungo, Dar-es- Salaam.

Kada zifuatazo zitafanya usaili wa kuandika (Aptitude test) tarehe 06.06.2016 hadi 07.06.2016:

Tafadhali bonyeza linki zifuatazo kwa taarifa zaidi:

  1. KUITWA_KWENYE_USAILI_-_Mei_2016.pdf

  2. Shortlisted_Inspection_Techn_-_Biomedical_Eng_-_ready_NEW.pdf

  3. Shortlisted_QAO_-_Bsc_General_(MicroChem)-Ready.pdf

  4. Shortlisted_QAO_-_Textile__Leather_Eng_-_ready.pdf

  5. Shortlisted_Inspector_-_Textile__Leather_Eng-ready.pdf

  6. Shortlisted_Systems_Administrator-Ready.pdf

  7. Shortlisted_STD_-_Bsc_Textile__Leather_Eng_-_ready.pdf

  8. Shortlisted_STD_-_Bsc_General_(MicroChem)-_ready.pdf

  9. Shortlisted_STD_-_Bsc_Envir_Health_Science_-ready.pdf

  10. Shortlisted_STD_-_Bsc_Electrical_Eng-_Ready.pdf

==============
========

JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

============

Are you disappointed by fruitless job applications and never get shortlisted? The problem is not you, its your CV. This comes to an end, Now for outstanding CV and Jobs professional advice, contact Bright Professionals Tanzania and grab your dream job. We also prepare social science business researches and proposals.

Contact us via


Phone: 0678 226 793

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment "KUITWA KWENYE USAILI: Shirika la Viwango Tanzania (TBS): May 2016"

Back To Top