JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI: DEREVA DARAJA LA II

HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI
KWA WANANCHI WOTE
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Serengeti anawatangazia Wananchi wote nafasi
(2) za kazi ya DEREVA DARAJA LA II.
a) SIFA ZA MWOMBAJI:
● Awe na cheti cha kuhitimu Kidato cha IV.
● Awe na leseni Daraja la “C” ya uendeshaji magari.
● Awe na cheti cha majaribio ya ufundi Daraja la II. (Kutoka chuo kinachotambuliwa na serikali.)
● Awe na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu(3) bila kusababisha
ajali.
b) KAZI NA MAJUKUMU:
● Kuendesha magari ya abiria na malori
● Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote ,na kufanya uchunguzi wa
gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
● kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
● Kutunza na kuandika daftari la safari “log-book” kwa safari zote.
c) MSHAHARA
Mshahara wa kuanzia ni kima cha Serikali katika ngazi ya TGOS.A kwa mwezi.
MAELEKEZO YA JUMLA KWA WAOMBAJI:
1. Kila mwombaji awe na Wadhamini wawili wa kuaminika.
2. Kila mwombaji aambatanishe vivuli vya vyeti (copies) vya Shule na mafunzo ya
Taaluma husika.
3. Kila mwombaji aambatanishe picha mbili za „Passport size’.
4. Awe na umri usiozidi miaka 45 na awe Raia wa Tanzania.
5. Waombaji watakaokidhi sifa wataitwa kwenye Usaili.
6. Waombaji watakaoitwa kwenye Usaili watatakiwa waje na Vyeti halisi (Original
Certificate).
2
7. Barua zote ziwe na namba za kuaminika za simu za mkononi, fax, au Barua
pepe ambazo ndizo zitatumika kutoa majibu kwa watakaochaguliwa kuja
kwenye usaili.
Mwisho wa kupokea barua za maombi ni siku ya Jumatatu, tarehe 13/06/2016
saa9:30
Maombi yote yatumwe kwa :
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti,
S.L.P. 176,
MUGUMU/SERENGETI.
Naomi Nnko
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
HALMASHAUR YA WILAYA
SERENGETI
========
KUITWA KWENYE USAILI: Shirika la Viwango Tanzania (TBS): May 2016
========

JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

============

Are you disappointed by fruitless job applications and never get shortlisted? The problem is not you, its your CV. This comes to an end, Now for outstanding CV and Jobs professional advice, contact Bright Professionals Tanzania and grab your dream job. We also prepare social science business researches and proposals.

Contact us via


Phone: 0678 226 793

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment "HALMASHAURI YA WILAYA YA SERENGETI: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI: DEREVA DARAJA LA II"

Back To Top