NAFASI NYINGINE 24 ZA AJIRA BODI YA MAPATO ZANZIBAR

AFISA HABARI NA MAHUSIANO DARAJA LA II -(X2) POSITION DESCRIPTION:

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imeanzishwa chini ya Sheria Namba 7 ya mwaka 1996 ikiwa ni Taasisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na vianzio vya ndani.
Katika kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato ya Serikali, ZRB imekusudia kujaza nafasi mbalimbali zikiwemo:

. AFISA HABARI NA MAHUSIANO DARAJA LA II NAFASI MBILI (2) KWA AFISI YA ZRB UNGUJA

SIFA ZA MUOMBAJI

• Awe Mzanzibari.

• Awe na shahada ya kwanza katika fani ya Uandishi wa habari, uhusiano (Public Relations) au Mawasiliano ya Umma (Mass Communication) kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

• Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza kingereza na kiswahili kwa ufasaha.

• Awe mfuatiliaji mzuri na mwelewa wa taarifa na matukio mbalimbali ya Uchumi, Biashara na Kodi kupitia vyombo vya habari.
• Awe na uwezo wa kutumia kompyuta.

• Awe na umri usiozidi miaka thalathini na tano (35)
• Awe mbunifu na awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa

KAZI ZAKE:
• Kujibu hoja mbalimbali kwa kupitia simu, emails za wateja wanaouliza masuala ya kodi.
• Kupokea malalamiko ya wateja na wadau wakodi yaliyowasilishwa kwa njia ya simu na email.
• Kukutana na walipakodi na wadau wengine kwa lengo na kuwasikiliza na kufuatilia shida zao.
• Kutoa maelekezo kwa walipakodi na wadau wengine kuhusiana na ujazaji wa ritani na fomu nyenginezo za ZRB.
• Kujumuisha malalamiko ya wateja na wadau wengine na kuandaa ripoti yake.
• Kutoa taarifa sahihi katika vyombo vya habari kuhusiana na matukio mbalimbali.
• Kufuatilia na kujibu hoja mbalimbali zinazotolewa dhidi ya ZRB.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
Barua ya maombi iambatanishwe na maelezo binafsi (CV) inayoonesha wadhamini wawili na namba zao za simu, namba ya simu ya muombaji,kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari, Vyeti vya kumalizia Masomo,cheti cha kuzaliwa na picha mbili.(2) za passport size zilizopigwa karibuni.
Maombi yote yawasilishwe makamo makuu ya Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kutumia anuwani iliyopo hapa chini si zaidi tarehe 22/4/2016.

KAMISHNA,
BODI YA MAPATO ZANZIBAR
P.O.BOX 2072, MAZIZINI
ZANZIBAR.
============

AFISA RASILIMALI WATU DARAJA LA II-UNGUJA POSITION DESCRIPTION:

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imeanzishwa chini ya Sheria Namba 7 ya mwaka 1996 ikiwa ni Taasisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na vianzio vya ndani.
Katika kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato ya Serikali, ZRB imekusudia kujaza nafasi mbalimbali zikiwemo:

. AFISA RASILIMALI WATU DARAJA LA II NAFASI (2) KWA OFISI YA ZRB UNGUJA.

SIFA ZA MUOMBAJI
• Awe Mzanzibari
• Awe na Shahada ya kwanza au Diploma ya juu katika fani ya Sayansi ya jamii,Utawala, Menejimenti ya Rasilimaliwatu, Mipango ya watumishi au fani inayolingana kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
• Awe na uwezo wa kutumia Computer
• .Awe na umri usiozidi miaka 35
• Awe mbunifu na awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa

KAZI ZAKE.
• Kusaidia kushughulikia likizo za wafanyakazi.
• Kusaidia kushughulikia malalamiko ya wafanyakazi.
• Kusaidia kutunza kumbukumbu sahihi za wafanyakazi wote katika sehemu za kazi.
• Kusaidia utengenezaji mishahara kwa wafanyakazi.
• Kusaidia kutayarisha fomu za upimaji wa wafanyakazi
• Kusaidia katika kuandaa mpango wa mafunzo.
• Kusaidia kukusanya na kuchambua takwimu na kumbukumbu zote zinazohusu watumishi.
• Kufanya kazi nyengineza ofisi kama atakazopangiwa na Mkuu wake.
APPLICATION INSTRUCTIONS:

NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
Barua ya maombi iambatanishwe na maelezo binafsi (CV) inayoonesha wadhamini wawili na namba zao za simu, namba ya simu ya muombaji,kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari, Vyeti vya kumalizia Masomo,cheti cha kuzaliwa na picha mbili.(2) za passport size zilizopigwa karibuni.
Maombi yote yawasilishwe makamo makuu ya Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kutumia anuwani iliyopo hapa chini si zaidi tarehe 22/4/2016.

KAMISHNA,
BODI YA MAPATO ZANZIBAR
P.O.BOX 2072, MAZIZINI
ZANZIBAR.
============

MHUDUMU WA SIMU DARAJA LA III POSITION DESCRIPTION:

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imeanzishwa chini ya Sheria Namba 7 ya mwaka 1996 ikiwa ni Taasisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na vianzio vya ndani.
Katika kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato ya Serikali, ZRB imekusudia kujaza nafasi mbalimbali zikiwemo:

MHUDUMU WA SIMU DARAJA LA III NAFASI MOJA (1) KWA OFISI YA ZRB UNGUJA

SIFA ZA MUOMBAJI
• Awe Mzanzibari
• Awe na Cheti kisichopungua miezi tisa katika fani ya mapokezi au huduma kwa wateja au Diploma katika fani zilizotajwa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
• Awe na uwezo wa kutumia Computer
• .Awe na umri usiozidi miaka 35
• Awe mbunifu na awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa

KAZI ZAKE.
• Kutoa huduma kwa wageni wanaofika Afisi ya ZRB.
• Kuwaelekeza wageni katika Idara husika.
• Kupiga na kupokea simu zote zinazoingia Bodi ya Mapato na kuwapelekea wanaohusika.
• Kuweka kumbukumbu ya simu zote zinazopigwa nje na ndani ya Bodi ya Mapato.
• Kupokea na kushughulikia maagizo kutoka kwa wageni.
• Kutunza madaftari na kumbukumbu za simu na kuwa katika hali nzuri.
• Kupokea maagizo ya simu na kuyafanyia kazi.
• Kufanya kazi nyengine za ofisi atakazopangiwa na mkuu wake.APPLICATION INSTRUCTIONS:

NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
Barua ya maombi iambatanishwe na maelezo binafsi (CV) inayoonesha wadhamini wawili na namba zao za simu, namba ya simu ya muombaji,kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari, Vyeti vya kumalizia Masomo,cheti cha kuzaliwa na picha mbili.(2) za passport size zilizopigwa karibuni.
Maombi yote yawasilishwe makamo makuu ya Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kutumia anuwani iliyopo hapa chini si zaidi tarehe 22/4/2016.

KAMISHNA,
BODI YA MAPATO ZANZIBAR
P.O.BOX 2072, MAZIZINI
ZANZIBAR.
===========

AFISA MHASIBU DARAJA LA II-UNGUJA POSITION DESCRIPTION:

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imeanzishwa chini ya Sheria Namba 7 ya mwaka 1996 ikiwa ni Taasisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na vianzio vya ndani.
Katika kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato ya Serikali, ZRB imekusudia kujaza nafasi mbalimbali zikiwemo:

Afisa Mhasibu Daraja La Ii Nafasi Tatu (3) Kwa Ofisi Ya Zrb Unguja

SIFA ZA MUOMBAJI
• Awe Mzanzibari
• Awe na Shahada ya kwanza au Diploma ya juu katika fani ya Uhasibu, na Fedha kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
• Awe na uwezo wa kutumia Computer
• Mwenye uelewa mzuri wa “Accounting packages” atapewa kipaumbele.
• Mwenye kusajiliwa kwenye Bodi ya Uhasibu atapewa kipaumbele.
• .Awe na umri usiozidi miaka 35.
• Awe mbunifu na awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa

KAZI ZAKE:

a. Kutayarisha taarifa za kila siku za mapato yaliyokusanywa kwa mujibu wa vianzio
b. Kutunza na kuweka kumbukumbu za vitabu vya hesabu.
c. Kuingiza malipo katika daftari la fedha.
d. Kutayarisha vocha na kuandika hundi za malipo.
e. Kutayarisha malipo kwa watoa huduma.
f. Kuangalia usahihi wa nyaraka na kumbukumbu za malipo na kufanya “Reconciliation”
g. Kulinganisha malipo yaliyofanywa na risiti zilizotolewa.
h. Kutayarisha taarifa za mapato na matumizi ya kila siku ya Taasisi.
i. Kazi yoyote atakayepangiwa na Mkuu wake.APPLICATION INSTRUCTIONS:

NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
Barua ya maombi iambatanishwe na maelezo binafsi (CV) inayoonesha wadhamini wawili na namba zao za simu, namba ya simu ya muombaji,kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari, Vyeti vya kumalizia Masomo,cheti cha kuzaliwa na picha mbili.(2) za passport size zilizopigwa karibuni.
Maombi yote yawasilishwe makamo makuu ya Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kutumia anuwani iliyopo hapa chini si zaidi tarehe 22/4/2016.

KAMISHNA,
BODI YA MAPATO ZANZIBAR
P.O.BOX 2072, MAZIZINI
ZANZIBAR.
===========

AFISA UNUNUZI NA UGAVI DARAJA LA II -UNGUJA POSITION DESCRIPTION:

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imeanzishwa chini ya Sheria Namba 7 ya mwaka 1996 ikiwa ni Taasisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na vianzio vya ndani.
Katika kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato ya Serikali, ZRB imekusudia kujaza nafasi mbalimbali zikiwemo:

. AFISA UNUNUZI NA UGAVI DARAJA LA II NAFASI MBILI (2) KWA OFISI YA ZRB UNGUJA

SIFA ZA MUOMBAJI.
• Awe Mzanzibari.
• Awe na Shahada ya kwanza ya Ununuzi na Ugavi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
• Awe na uwezo wa kutumia Computer
• .Awe na umri usiozidi miaka 35
• Awe mbunifu na awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa

KAZI ZAKE:
a. Kufanya uchambuzi wa manunuzi ya vifaa na kuainisha utaratibu wa kuagiza vifaa vinavyohitajika.
b. Kukusanya mahitaji ya kila Idara kwa ajili ya utengenezaji wa Mpango kazi wa Manunuzi wa Bodi ya Mapato.
c. Kuunganisha mahitaji ya vifaa ya Idara mbalimbali za ZRB
d. Kushiriki katika kutengeneza mpango kazi wa ununuzi na ugavi.
e. Kufanya kazi za ununuzi kwa mujibu wa sheria.
f. Kuhakikisha kwamba mali isiyofaa au chakavu inahifadhiwa na taarifa zake zinatunzwa.
g. Kuorodhesha vifaa vichakavu na visivyofaa kwa hatua za uuzaji.
h. Kuweka na kudhibiti taarifa zote za manunuzi.
i. Kazi yoyote atakayepangiwa na Mkuu wake.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
Barua ya maombi iambatanishwe na maelezo binafsi (CV) inayoonesha wadhamini wawili na namba zao za simu, namba ya simu ya muombaji,kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari, Vyeti vya kumalizia Masomo,cheti cha kuzaliwa na picha mbili.(2) za passport size zilizopigwa karibuni.
Maombi yote yawasilishwe makamo makuu ya Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kutumia anuwani iliyopo hapa chini si zaidi tarehe 22/4/2016.

KAMISHNA,
BODI YA MAPATO ZANZIBAR
P.O.BOX 2072, MAZIZINI
ZANZIBAR.
==========

AFISA MAPATO DARAJA LA II-UNGUJA NA PEMBA(14) 

POSITION DESCRIPTION:

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) imeanzishwa chini ya Sheria Namba 7 ya mwaka 1996 ikiwa ni Taasisi ya ukusanyaji wa mapato ya Serikali yatokanayo na vianzio vya ndani.
Katika kuongeza ufanisi wa ukusanyaji mapato ya Serikali, ZRB imekusudia kujaza nafasi mbalimbali zikiwemo:

1. AFISA MAPATO DARAJA LA II NAFASI KUMI NA NNE (14)
Nafasi kumi (10) kwa Afisi ya ZRB Unguja na nafasi nne (4) kwa Afisi ya ZRB Pemba.

SIFA ZA MUOMBAJI
• Awe Mzanzibari
• Awe na elimu na Shahada ya kwanza au Diploma ya juu katika fani ya Kodi, Uhasibu,Uchumi na Biashara. kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
• Awe na uwezo wa kutumia Computer
• Mwenye uelewa mzuri wa “Accounting packages” mbalimbali kama vile MYOB, PASTEL, QUIKBOOK n.k. atapewa kipaumbele.
• .Awe na umri usiozidi miaka 35.
• Awe mbunifu na awe na uwezo wa kufanya kazi bila kusimamiwa

KAZI ZAKE
a. Kupokea ritani za walipakodi, pamoja na kuweka kumbukumbu zinahusika na kufanya uhakiki wa nyaraka hizo na kuzihifadhi.
b. Kukagua kumbukumbu na taarifa za mlipakodi ili kuhakikisha kodi sahihi inalipwa kwa mujibu wa sheria.
c. Kufanya uhakiki wa madai ya kodi (claims).
d. Kuainisha na kutathmini maeneo hatarishi ya upotevu wa mapato na kupendekeza hatua za kuchukuliwa
e. Kutoa mapendekezo ya kufanywa ukaguzi na upelelezi kwa mlipakodi.
f. Kusimamia na kufuatilia nafuu maalum ya Kodi.
g. Kutoa mapendekezo juu ya usimamizi bora kwa walipakodi kwa lengo la kuimarisha ukusanyaji wa mapato.
h. Kazi yoyote atakayepangiwa na Mkuu wake wa kazi.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

NAMNA YA KUWASILISHA MAOMBI
Barua ya maombi iambatanishwe na maelezo binafsi (CV) inayoonesha wadhamini wawili na namba zao za simu, namba ya simu ya muombaji,kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari, Vyeti vya kumalizia Masomo,cheti cha kuzaliwa na picha mbili.(2) za passport size zilizopigwa karibuni.
Maombi yote yawasilishwe makamo makuu ya Bodi ya Mapato Zanzibar kwa kutumia anuwani iliyopo hapa chini si zaidi tarehe 22/4/2016.

KAMISHNA,
BODI YA MAPATO ZANZIBAR
P.O.BOX 2072, MAZIZINI
ZANZIBAR.
==========

==========Are you applying for job many times and not shortlisted? Now its your time to be called for interview. Get the best CV from professionals within 48 hrs.Call 0658343074 or email cv.bptz@gmail.com
============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment "NAFASI NYINGINE 24 ZA AJIRA BODI YA MAPATO ZANZIBAR"

Back To Top