NAFASI MPYA ZA AJIRA WINTECH ELEVATORS TANZANIA LTD

WINTECH ELEVATORS TANZANIA LTD
NAFASI ZA KAZI

Tunatafuta watu wenye Taaluma zifuatazo

1.    Sales & Marketing Executives (wanaume tu)
2.    Accounts
3.    HR Manager

Note:

•    Muombaji awe na ujuzi wa kazi usiopungua miaka miwili (2)
•    Muombaji awe anajua lugha ya kiingereza na Kiswahili kwa ufasaha.

Waombaji wote wafike siku ya tarehe 30/04/2016 kwaajili ya interview. Muda saa 1:00 Mchana hadi 4:00 jioni. Katika ofisi yetu Diamond Plaza floor ya 2.

Kwa maulizo zaidi usisite kutupigia kwa namba ya simu:
+255 766 554 433/ 767 914 917

Source: Mwananchi 23rd April, 2016
============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment "NAFASI MPYA ZA AJIRA WINTECH ELEVATORS TANZANIA LTD"

Back To Top