JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

NAFASI 21 ZA AJIRA WIZARA YA AFYA - ZANZIBAR. APPLY KABLA YA TAREHE 15, APRIL 2016

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WIZARA YA AFYA - ZANZIBAR 

Posted: 2016-04-11 05:01:21
Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi kwa kada mbali mbali katika Wizara ya Afya Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-

1. AFISA TABIBU (CLINICAL OFFICER) ‘Nafasi (1)’- UNGUJA na ‘Nafasi’ (1) – PEMBA.
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahahada ya Utabibu’ kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

2. WAUGUZI (NURSES) ‘Nafasi (8)’ UNGUJA na ‘Nafasi (4)’ PEMBA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ katika fani ya Uuguzi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

3. FUNDI SANIFU MADAWA (PHARMACEUTICAL TECHNICIANS) ‘Nafasi (2)’ - UNGUJA 
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ katika fani ya Ufundi Sanifu wa Madawa kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

4. FUNDI SANIFU VIFAA, TIBA (BIOMEDICAL TECHNICIANS) ‘Nafasi (3)’ UNGUJA na ‘Nafasi (1)’ PEMBA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari.
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ katika fani ya Ufundi Sanifu Vifaa, Tiba kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

5. FUNDI SANIFU MAABARA (MEDICAL LAB. TECHNICIANS) ‘Nafasi (1)’ - UNGUJA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ katika fani ya Ufundi Sanifu Maabara kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar


6. AFISA MAABARA TIBA (MEDICAL LAB. TECHNOLOGIST) ‘Nafasi (1)’ - UNGUJA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Shahada ya Kwanza’ katika fani ya Maabara ya Tiba kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

7. AFISA AFYA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL HEALTH OFFICER) ‘Nafasi (2)’ - PEMBA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ katika fani ya Afya Mazingira kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

8. FUNDI VIATU (SHOES MAKER) ‘Nafasi (1)’ - UNGUJA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe na Taaluma ya Ufundi wa Viatu vya Wagonjwa wa Viungo 

9. MPISHI (SHEFF) ‘Nafasi (1)’ - UNGUJA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Cheti’ katika fani ya Upishi kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

10. DOBI ‘Nafasi (1)’ - UNGUJA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Cheti’ katika fani ya Ufuaji wa Nguo kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

11. KARANI TAKWIMU ‘Nafasi (1)’ - PEMBA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Cheti’ katika fani ya Takwimu kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.


12. FUNDI UMEME ‘Nafasi (1)’ - PEMBA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ au ‘Cheti’ katika fani ya Umeme kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

13. MTUNZA KUMBUKUMBU ZA AFYA (MEDICAL RECORDER) ‘Nafasi (1)’ - UNGUJA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ au ‘Cheti’ katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu za Tiba (Medical Record) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

14. KATIBU MUHTASI ‘Nafasi (1)’ - PEMBA
Sifa za Muombaji:
Awe ni Mzanzibari
Awe amehitimu elimu ya ‘Stashahada’ katika fani ya Uhazili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jinsi ya Kuomba:
Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-
KATIBU, 
TUME YA UTUMISHI SERIKALINI,
S. L. P 1587 - ZANZIBAR.

Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao katika Ofisi ya Rais, Kazi na Utumishi wa Umma Chake Chake Pemba.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:-
a) Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo 
b) Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari)
c) Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa.
d) Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari.
e) Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni.
f) Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 15 Aprili, 2016 wakati wa saa za kazi.
Muombaji anatakiwa aiainishe nafasi ya kazi anayoiomba kati ya zilizotajwa hapo juu vinginevyo maombi yake hayatazingatiwa. 

===========
Assistant Manager at Wazo Hill Savings And Credit co-operative Society Ltd==========


Are you applying for job many times and not shortlisted? Now its your time to be called for interview. Get the best CV from professionals within 48 hrs.Call 0658343074 or email cv.bptz@gmail.com

JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

============

Are you disappointed by fruitless job applications and never get shortlisted? The problem is not you, its your CV. This comes to an end, Now for outstanding CV and Jobs professional advice, contact Bright Professionals Tanzania and grab your dream job. We also prepare social science business researches and proposals.

Contact us via


Phone: 0678 226 793

Share :

Facebook Twitter Google+
1 Comment "NAFASI 21 ZA AJIRA WIZARA YA AFYA - ZANZIBAR. APPLY KABLA YA TAREHE 15, APRIL 2016"

Mbona mnafanya mambo yasieleweka, sifa za muombaji awe mzanzibar kivipi?,hatuna nchi inayoitwa zanziba, tuna tanzania, inapaswa sifa ya muombaji awe mtanzania,

Back To Top