JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

TANGAZO LA NAFASI 9 ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi anapenda kuwatangazla Watanzania wenye sifa kuomba nafasl za kazi zifuatazo.

1. Mtendaji wa Mtaa Ill (Nafasi 3)

Sifa

• Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha nne (N} au sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo:-Utawala, Sheria, Elimu ya Jamil, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jam ii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Kazi za kufanya Mtendaji wa Mtaa Ill
1. Katibu wa kamati ya Mtaa.
2. Mtendaji Mkuu wa Mtaa.
3. Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa
4. Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Mtaa
s. Msimamizi wa Utekelezaji wa Sherla Ndogo pamoja na sheria nylngine zinazotumlka katika mtaa.
6. Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
7. Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini katika Mtaa.
8. Kusimamia ukusanyajl wa mapato ya Halmashauri na kutunza kurnbukumbu za walipa kodi wote.
9. Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa.
1 O. Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata .

Mshahara

Cheo hiki kitaanza na ngazi ya Mshahara wa TGS 'B' kwa mwezl.
=========

2. Dereva II (Nafasi 6)

Sifa

• Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV,Wenye Leseni daraja 'C' ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda uslopungua miaka mitatu bila kusababisha ajall,wenye Cheti cha Majaribio ya UfundiDraja II.

Kazi za Kufanya Dereva II

1. Kuendesha rnagari
2. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vinakuwa katlka hali nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaostahili kufanylwa matengenezo.
3. Kufanya matengenezo madogo madogo katika garl.
4. Kutunza na kuandika daftari la safari 'Log-book' kwa safari zote.


Mshahara

Cheo cha Dereva II kina ngazi ya Mshahara wa TGOS 'A' kwa mwezi

Utaratibu wa Uombaji

Maombi yote yaletwe yakiwa na nakala za vyeti halisi vya Elimu na taaluma pamoja na wasifu wa mwombaji (CV), pia maombi yaambatanishwe na namba za simu za mkononi pamoja na picha ndogo mbili (passport Size) za rangi za hivi karibuni.

Maombi yatumwe kwa anuanl ifuatayo:-

Mkurugenzi wa Manispaa
Halmashauri ya Manispaa
S.L. P.1070
LINDI

Waombaji wenye uzoefu na kazi husika katika Halrnashauri watafikiriwa kwanza.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 18. 02. 2016 saa 9.30 alasiri.
Satura J.M
MKURUGENZI WA MANISPAA
LINDI

Source: Daily News 5th February, 2016

JISHINDIE ZAWADI YA GARI, CAMERA, SPEAKER NK KILA MWEZI, BONYEZA HAPA KUJISAJILI BURE KISHA FUATA MAELEKEZO

============

Avoid scams : NEVER pay to have your CV / Application pushed forward. Any job vacancy requesting payment for any reason is a SCAM.

============

Are you disappointed by fruitless job applications and never get shortlisted? The problem is not you, its your CV. This comes to an end, Now for outstanding CV and Jobs professional advice, contact Bright Professionals Tanzania and grab your dream job. We also prepare social science business researches and proposals.

Contact us via


Phone: 0678 226 793

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comment "TANGAZO LA NAFASI 9 ZA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA YA LINDI"

Back To Top